Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmeanza. Siku mbili tatu hizi nimepumua pumua. ...
Kuna watu watakuwa wanaomba mvua ziendelee ikibidi mwaka mzima
Kuna chenza la Andjul nililiona mahali, yaani kopi raiti.JUICY....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 749022
...She is a beautiful puzzle
View attachment 749020
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha hapana mkuu,,,ilikuwa njia yangu ya kupita hapo
Umeanza kuwa mwenyeji sasa. Kama na chenza la Andjul unalifahamu. Welcome to the family [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna chenza la Andjul nililiona mahali, yaani kopi raiti.
Walete konokono tuwaonje[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja niwalete
Ndivyo maisha yalivyo. Wakati wengine mnahangaika na kipindupindu, muuza majeneza yeye anaomba kiendelee. Na ukiangalia vizuri, maendeleo ya binadamu - hasa katika sayansi na teknolojia - yametokana na juhudi za binadamu kutambua fursa zinazoletwa na uwepo wa matatizo...Kuna watu watakuwa wanaomba mvua ziendelee ikibidi mwaka mzima