Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Whoever introduced some romantic procedures jz messed up big time.*[emoji45][emoji57]

*Hii upuzi eti u should undress your partner before you get to the garden of eden is simply tiresome and time wasting. Surely some bras zimefungwa na wiremesh uko nyuma , boychild anang'ang'ana mpaka msedes inanguka tu, boxers zingine ziko na apartments, they av several rooms for storage, unatafuta ninii... inapotea kabisa, alafu belt zingine nikama ziko na flyover unafungua mpaka unauma na mdomo, unachoka tu.*[emoji1438]‍♂
*To be fair, wewe jitoe nguo, nijitoe zangu, tupatane kwa acting table. You are the only one who knows how complicated your mtumba is tightly packed*[emoji45][emoji45][emoji45][emoji57][emoji57] *
*For Evil minded ones ,am sorry*[emoji45][emoji45][emoji57][emoji1438]‍♂

[emoji23][emoji962]‍♀[emoji962]‍♀[emoji962]‍♀[emoji1379]‍♀
 
3.Kula matunda yasio na sukari nyingi au kula mboga za majani kwa kila mlo. Wakati wote fikiria kijani kuwa ndio saladi yako. kipande cha limau, karoti, tango. Sio tu yatakupa lishe bora bali utapunguza uzito mkubwa.
 
Tabia bora ya afya ya akili.

1.Panga mawazo yako mwenyewe. Soma vitabu mbalimbali, sikiliza masomo yanayofaa kwenye akili yako. Achana na habari zinazokushambulia akili yako. Uwe na mtazamo ulio wazi, jaribu kusaidia wengine kama unaweza. Pata marafiki wapya, Jifunze njia mpya za mafanikio. Fikiria hekima ambayo unaweza kuijenga ndani ya miaka mitano na zaidi, kama utakuwa mtu wa kuuliza maswali na kutaka kujua
 
Back
Top Bottom