Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BgioXgWF5WS.jpg
 
Ni kweli tunamshikilia huyo msichana aliyejitokeza na kudai ni mtoto wa Lowassa hivyo tunamhoji baada ya kukiri amedanganya kwa makosa ya kumdhalilisha na kusababisha taharuki kwa jamii,”amesema Kamanda Mambosasa.

Kamanda Mambosasa amesema wanaendelea na upelelezi na utakapokamilika watamfikisha mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Wanapata faida gani kudhalilisha watu kiasi hiki?
 
Serikali imewafuta kazi mara moja wauguzi wote waliokuwa wanashiriki mgomo hasa baada ya kukataa kurejea kazini licha ya mwajiri wao kuridhia madai yao kisha akatoa zaidi ya dola za Marekani 17 milioni.

Tayari Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha kufukuzwa kazi na kuhakikisha watu wapya wanaajiriwa haraka iwezekanavyo ili waweze kuokoa maisha ya wagonjwa.
Safi sana
 
Back
Top Bottom