Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Bongo ni mambo ya baadaye sana, mambo ya sani enzi ya Philip Ndunguru chini yake Said Bawji, yalikuwa si mchezoBila kusahau na gazeti la Bongo mkuu
Bobo anapenda kula na kucheza game[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bobo hapendi kuoga
[emoji23][emoji23][emoji23]me sijui bhana nimekutana nayo tu mtaani
Kwema mgumu?
[emoji137] [emoji137] BAK
When peace like a river [emoji445]
Boss nilikuwa nakurusha tu rohoUmenitia aibu[emoji23][emoji23]safari??tena tano??
Dada mbona una maombi ajabu, Uzi huu ukifungwa utahamishia wapi furaha yako ?Na wewe ushaharibika akili na uzi huu[emoji23][emoji23]
Mods funga huu uzi[emoji125]
[emoji15] [emoji15]Ulikiwe eeh! Hahahahaha haya mrembo Consuela.