Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa na ninavyowajua wabongo kuanzia kesho tutaanza kujua wanaume wote aliotoka nao before Kiba [emoji23][emoji23][emoji23]

Watanzania kwa umbea hatujawahi kushindwa [emoji28][emoji28]
Yaani wewe acha tu, sema anafanya vizuri maana watu hawakawii kufukua makaburi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…