Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mastaa wote watatu waliopigiwa kura katika mchuano huo wana nafasi ya kufunga bao bora la hatua ya nusu fainali. Wakati Ronaldo ana mechi mbili za nyumbani na ugenini dhidi ya Bayern Munich, Salah na Chamberlaini nao watakuwa na mechi mbili dhidi ya Roma katika hatua hiyo.
 
Mastaa wote watatu waliopigiwa kura katika mchuano huo wana nafasi ya kufunga bao bora la hatua ya nusu fainali. Wakati Ronaldo ana mechi mbili za nyumbani na ugenini dhidi ya Bayern Munich, Salah na Chamberlaini nao watakuwa na mechi mbili dhidi ya Roma katika hatua hiyo.
 
Licha ya kuwa na msimu mzuri katika Ligi Kuu ya England na michuano ya Ligi ya mabingwa wa Ulaya, Salah ana kazi ngumu ya kumpiku Ronaldo katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya na staa huyo wa Ureno ana mabao 15 mpaka sasa wakati Salah ana mabao manane tu.
 
Vile vile amefikisha mabao 40 katika michuano mbalimbali na jana alitajwa kuwa mchezaji pekee wa Liverpool kuingia katika kikosi cha mwaka cha msimu huu ambapo Manchester City ilitoa wachezaji watano, Tottenham ikitoa wachezaji watatu huku Liverpool na Manchester United zikitoa mchezaji mmoja mmoja
 
Nguli wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira anatarajiwa kurejea katika kikosi hicho akiwa kocha mkuu.

Nahodha huyo wa zamani wa timu hiyo na Ufaransa, anahusishwa na mpango wa kutua Emirates kujaza nafasi ya Arsene Wenger.

Mfaransa huyo alicheza kwa kiwango bora Arsenal kwa miaka tisa na alikuwa kipenzi cha kocha huyo.
Tulimkubali alivyokuwa kiungo matata, asituangushe kwenye ukocha wake ingawa si mpenzi wa timu hiyo, lakini huvutiwa na uchezaji wao
 
Tayari staa wa zamani wa England, Alan Shearer pamoja na De Bruyne mwenyewe wamekiri staa huyo anastahili kupewa tuzo ya kuwa Mwanasoka Bora wa England msimu huu baada ya kufanya mambo makubwa kwenye michuano yote anayoshiriki.
 
Real Madrid imejaribu kumrudisha nyumbani kipa huyo wa zamani wa Atletico Madrid kwa miaka mingi lakini inasemekana sasa imefikia makubaliano maalumu na Manchester United baada ya kipa huyo kuonyesha nia ya kurudi nyumbani.
 
30593142_197479414391279_7850634071678910464_n.jpg
Mashaallah
 
REAL Madrid inasemekana imefikia makubaliano na Manchester United kumnunua kipa namba moja wa wababe hao wa Old Trafford, David de Gea kwa dau la Euro 100 milioni katika dirisha kubwa lijalo la majira ya joto baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Dunia.
Madrid kila mwaka wanahangaikia Sign ya De Gea mwsho wa siku wanashindwana,ngoja tuone km mwaka huu watafanikisha
 
Back
Top Bottom