Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utasikia nani kanionea dadii yangu
Ooh dadii nilikumiss kweli na kuigiza kulia[emoji22][emoji22]mods wabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafwaaaaa kwa kucheka leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wametafutana muda mrefu kwa lyrics. It is time. Tuwahongereshe tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna...
 
Hasa vimbaumbau. Yaani kakiwaka kamewaka aisee. Dawa pekee ni kuondoka kwa muda japo napo inaweza isisaidie sana. Unaondoka asubuhi kukakimbia unarudi jioni unakuta bado kamewaka. Aaaaaaargh !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28], ukikimbia si ndo unakuwa waleta matatizo, ukirudi utaambiwa ulienda kujipumzisha kwa mchepuko..Vita inaanza upya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wametafutana muda mrefu kwa lyrics. It is time. Tuwahongereshe tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niliiangalia hii sermon nzima. Nadhani walikuwa Zambia. Makanisa Afrika yamefurika kila mtu akitaka miracle lakini umasikini ndiyo unazidi. Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea miracles. Wanapendekeza makanisa yaanze kufundisha basic principles za Economics kwa waumini wake badala ya kuwadanganya kuwa watatajirika kupitia miracles. Tough but true....
 
Back
Top Bottom