andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
jakitoomoney fall on you,
banana fall on you,
paparazzi follow you,
coz i'm in love withyu ee..... najiimbia
jakitoomoney fall on you,
banana fall on you,
paparazzi follow you,
coz i'm in love withyu ee..... najiimbia
Anzia mbele kwenda polini hukoHuu uzi ukitoka ukachelewa unaweza changanyikiwa pa kuanzia kulike maana...
Wapi huko?Kumekucha
Hahahahahaha na nilikua nayatoa haswa lbd yameanza kuzoea...Sema Baby S. Naona leo kimepoaaaa. Sekeseke la jana ilikuwa raha sana aisee. Nashangaa hata macho hayakukuuma!
AsanteeKaribuni tule ugali kachumbari
52 min ago nakuja huko
Oi oi oi shimba ya buyenze bro from another motherShii
Nipo na like huku nyumaNakuona tu!
Nitajitahidi...Anzia mbele kenda polini huko
Pamoja mkuu ndio nimetoka hukoNipo na like huku nyuma
True dat. Ndo maana tunasaidiana...kwa pasi ndefu na fupi japo nina wasiwasi sana na uchezaji wako. Pengine soka siyo mchezo wako [emoji23][emoji23][emoji23]Oi oi oi shimba ya buyenze bro from another mother
Pambana nimetoka huko pongezi kwakoPoa nipo 30 pages nyuma
Kama 600 posts hizo
Numbisa ulisema haupendagi nywele za nyongeza, inakuwaje tena? Nilikuzoea vileIle imepumzika