Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji736][emoji736]Kadhalika, suala la matumizi ya vidonge vya folic acid miezi mitatu kabla na baada ya ujauzito, wanawake pia wanakosa taarifa hizo maana wengi wao wanasubiri mimba ifikie miezi mitatu waanze kwenda kliniki huko ndiko wanakokutana na taarifa hizo.