[emoji736][emoji736]Kadhalika, suala la matumizi ya vidonge vya folic acid miezi mitatu kabla na baada ya ujauzito, wanawake pia wanakosa taarifa hizo maana wengi wao wanasubiri mimba ifikie miezi mitatu waanze kwenda kliniki huko ndiko wanakokutana na taarifa hizo.
Nzuri mkuu tupo tena kwenye Uzi wetu pendwasalama, za kwako
Yaplikes za mchana zinaendelea
Noon12:00
Kwa speed kubwasiku imeshika kasi
Nilipo jua limechomozaleo hatujaliona jua...mawingu na mvua
12:1312:05
Majukumu PyaarNzuri kabisa Mzee wa Liver, ulipotea siku mbili tatu hizi.
*Anye nijuye lwa manji munsua.
Dogo jeuri sanaKatika mchezo huo wa Ligi Kuu England, Pogba alimiliki vyema eneo la kiungo kabla ya kutolewa dakika 80.
Baada ya kwenda katika benchi, kocha huyo Mreno alimpigia makofi kwa kazi nzuri, lakini hakumpa mkono.
Shukrani mkuu,Juma'a Mubarak piaSafi mkuu
Ijumaa Kareem
Ila sasa hivi wamefurahi,,zile mil 600 za caf znakujaKama nawaona watu wa jangwani walivyonuna