Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ripoti kutoka kwenye vyombo vya habari zinasema kwamba baada ya Romelu Lukaku kujiunga na Roc Nation Sports chini ya Jay Z - sasa amejiondoa rasmi chini ya usimamizi wa wakala Mino Raiola huku Paul Pogba nae anaripotiwa kuwa mbioni kusaini dili la kuwa chini ya usimamizi wa Jay Z kupitia Roc Nation Sports na kuachana na Raiola!
 
Back
Top Bottom