Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Da mange kasema hivi,Bashite kamtoa kafara demu wake ili kuwatoa watu kwenye mstar wa 2604.
Na da mange akisema tunafuata na kuamini
OK. Sasa nimeelewa. Jeshi la mdada ngangari yule huwa haliruhusiwi kufikiri wala kuhoji. Linaendeshwa kidikteta dikteta na ukihoji huko cha moto utakiona ikiwemo na kubulokiwa juu pamoja na kuandamwa na makuruta wake. Ni sawa na yule mwanaharakati wa hapa mwenye jazba na mapovu. Demokrasia - dhana tata ajabu !!!
 
Ndo maisha tuliyojichagulia hayo,tunaruhusu watu watufikirie akili zetu ni kazi ya kuitikia ndiyo tu.
Haturuhusiwi kuhoji wala kutoa mawazo yetu.
 
Ndo kwanza saa moja,, hadi ifike saa saba hali sijui itakuaje hapa,,,, [emoji16] [emoji16] [emoji16] YOLO
View attachment 751270
Mwenzao huyu hapa kutoka Mwakaleli ....[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
445728357_107743.jpg
 
Back
Top Bottom