Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahaha hii habari aisee,, kusoma hadi chini kumbe ni kombe la mbuziJUZI Jumatano Farudume walijikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa TP Mazembe kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mbuzi.