Hahaha hii habari aisee,, kusoma hadi chini kumbe ni kombe la mbuziJUZI Jumatano Farudume walijikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa TP Mazembe kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mbuzi.
Hahahahahah ukadhan mazembe ya congoHahaha hii habari aisee,, kusoma hadi chini kumbe ni kombe la mbuzi
Pamoja kaka...Vizuri kusikia hivyo Bro!!
Pamoja sana
Hahahahahah nilijua mazembe ya congo,kumbe mazembe ya mchangani hahahHahahahahah ukadhan mazembe ya congo
Hio mitaa nshaikimbia napitaga tu,home ni hapaHahah!!
Niliona like yako nikasubiri utoe neno nikaona umepita kimya kimya.... ila ndio hivyo bhn
Hahahahahah nilijua mazembe ya congo,kumbe mazembe ya mchangani hahah
Hahahahahah nilijua mazembe ya congo,kumbe mazembe ya mchangani hahah
Hahahaha majina yao tu huwa ni burudani toshaTimu za mchangan vituko vingi
Kuna mtaa nilionaga umetema cheche alafu ukapita hiviHio mitaa nshaikimbia napitaga tu,home ni hapa
[emoji106][emoji106]The journey of a thousand miles begins with one step.
KweliWhoever is happy will make others happy too.