Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema walipitisha dodoso katika shule za msingi na sekondari ambapo walipatikana wasichana 21,300 na waliowapata chanjo kutoka maeneo tofauti ni 2,797.

"Tumeshapitisha dodoso mashuleni na majumbani na tayari wilaya ya Ilala tuna vituo 71, Ubungo 48, Kinondoni 65, Kigamboni 19 na Temeke tunavyo 48 hivi vyote vitatoa huduma kwa nyakati zote za zoezi hili," amesema Ziada.
 
AFD95439-C8CB-4B0B-A56E-6D564D777845.jpeg
 
Wasichana 24,097 wenye umri wa miaka 14 wanatarajia kupewa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kutoka katika wilaya tano za Mkoa wa Dar es Salaam.

Akizungumza leo Aprili 21 katika warsha ya waandishi wa habari, Mratibu wa Chanjo ya Mama na Mtoto wa Mkoa, Ziada Sera amesema mkoa una vituo 270 ambavyo vitatoa chanjo hiyo.
 
Amesema walipitisha dodoso katika shule za msingi na sekondari ambapo walipatikana wasichana 21,300 na waliowapata chanjo kutoka maeneo tofauti ni 2,797.

"Tumeshapitisha dodoso mashuleni na majumbani na tayari wilaya ya Ilala tuna vituo 71, Ubungo 48, Kinondoni 65, Kigamboni 19 na Temeke tunavyo 48 hivi vyote vitatoa huduma kwa nyakati zote za zoezi hili," amesema Ziada.
 
Naye Mratibu wa Chanjo kutoka Wizara ya Afya, Lotalis Gadau amesema wataendelea kutoa chanjo hiyo mfululizo kila mwaka, lakini kwa sasa wanalenga zaidi kundi hilo.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Grace Magembe amesema serikali bado haijafikiria kuuza chanjo hiyo, bali itaendelea kutolewa bure kwa walengwa.
 
Back
Top Bottom