Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najua. Nani alishinda?[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji5] teh teh asante we...ho chi min na uniq wasingekuacha salama lol!!!
Loh,si anakuja kunisalimia mara moja tu?Nyumbani wapi? Wewe unaishi kota za magereza?
Sambaza likes upate likesguys
Kwanza useme ulikua wapiWaliniROMA si umeona sikuonekana siku mbili kama ROMA
Olemahe nkoi,tokotomele mmabasi.Nenhelage shi nkoyi. Myaka makumi nadinalya mamichembe!
Mwambie mmasai ye yote utakayekutana naye akuuzie...Wapi nitapata marungu mazito na imara kama ya polisi?
Kule kwa waziri mkuuWapi huko prince
Tulia we mzee we katafute wazee wenzio sisi damu inachemkaNawaangalia tu!
KumbeeeHakika mkuu, nitachepuka weee lakini nsamaka simuachi.
Nlilkua najifua...nasubiria 100KNaona umeweza majaribio ya test kuu ijayo ya 70k
Hongera
Ongeeni tu hawezi pata usingizi huyo!Hahahahah namuona kaja..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nashukuru maana moyo wangu utulia kila unapofurahi
Nhana geteYee chene hange
Linaparaganyika lenyewe tu hata kabla hujaligusa!Kabati la kichina
Ili iwejeWapi nitapata marungu mazito na imara kama ya polisi?
Hahahah ah ....aliniuliza tu swali....[emoji12] [emoji12]Hv hujamuacha tu?
Kama kawaida sawazisha tumilioni kadhaa kwa mpesa.Ahsante kwa kunielewa mama. Utahitaji taslimu?
We itafute tu maana nimeeleza ya moyoniSijaona comment ujue ntaidaka tu