andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Unamaanishaje? Au ndio sera za mapinduzi? Mbona cocochanel amesema yupo mwanza? Nsamaka tu ndio analielewa lugha gumu utadhani picha za ISIS?Hayaga bageshi. Amamichembe galiho?
Unamaanishaje? Au ndio sera za mapinduzi? Mbona cocochanel amesema yupo mwanza? Nsamaka tu ndio analielewa lugha gumu utadhani picha za ISIS?Hayaga bageshi. Amamichembe galiho?
Wangekuwa wamekuROMA usingerudi na mbwembwe namna hii. ROMA umeshamsikia tena? KuROMIwa siyo mchezo ati!WaliniROMA si umeona sikuonekana siku mbili kama ROMA
PoleNiko
Andjul mtu ya batoto+kichwa kichafu mutu ya kula bata lakini anageuka kila sehemu kwa mashaka sijajua nini tatizo!Wacha weèe
WaliniROMA si umeona sikuonekana siku mbili kama ROMA
Hahaha....sema BigBaba...Nipo loud mie
Kiuno nyigu!
Ndiyo zuri kwa kupikia matoborwa!Sufuria mtoboko!
Walinifunika macho!Kwanza useme ulikua wapi
Picha zinaeleweka vizuri tu labda tatizo uwezo wako [HASHTAG]#defend[/HASHTAG] her till the end #Unamaanishaje? Au ndio sera za mapinduzi? Mbona cocochanel amesema yupo mwanza? Nsamaka tu ndio analielewa lugha gumu utadhani picha za ISIS?
Hawa ni mashemeji zako tu,usihofuUnamaanishaje? Au ndio sera za mapinduzi? Mbona cocochanel amesema yupo mwanza? Nsamaka tu ndio analielewa lugha gumu utadhani picha za ISIS?
Bora uniteteeUtatoa hutoi??? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiukweli anatoa jamani, mimi amenipa mara nyingi sana tena sio msumbufu. Hebu mwacheni
Wala usimfikirie, ataniacha taratibuHv hujamuacha tu?
Nayapenda tu,Ili iweje
Moyo unazidi kupata tulizo mubashara[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]