Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kabisaeti maisha magumu sijuh lini yatakuwa malaini ahaaaa labda kwa omo na powder...
Kabisaeti maisha magumu sijuh lini yatakuwa malaini ahaaaa labda kwa omo na powder...
Mtumeee!!!Bint nimetega alarm ukiandika tu napata txt yako
Aisee kumbe watu wanapenda likes kiasi hiki!
Salama karibu mkuuHabari za kushinda wakuu
Nipo loud mieHaahaha na uniq leo kimya.....
Subiri akija kuibuka. Utamkoma!We jana nilikuambia yule ni mwanafunzi, kesha fika shuleni alisindikizwa na wazazi wake na simu amenyang'anywa. Kwa mara ya mwisho amenipigia saa 21:03.Mpaka mwezi wa tisaaa midterm
Nakupenda bure kuanzia majuzi. [emoji8] [emoji8] Oooh Oooh !! sijui nitakuwa Nimejaribu??? Kumbuka sheria ya uzi huu ni kupeana like tu
Pamoja mkuuKanyaga nipo bado nami nimerudi nipo nyumaaaaa
Hahahahaaa nsamaka nimesha mmaliza na ahadi ya Redd'sHahaah ngoja nsamaka akukute
Naiona battle yenu na bichwa ChafU mi am settled aiseeHapo chacha, kamguu kazuurieee, halafu na kakitovu ni ka kuzamia ndani...
Nakuona lkn ujueHahahahaaa nsamaka nimesha mmaliza na ahadi ya Redd's
Couple ya vitimbwi hahahaHahahahaaa nsamaka nimesha mmaliza na ahadi ya Redd's
Gossip numbisa