uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Baby wa mie vipi unaendeleajeKwa kweli...........nawe pokea kwa kunifanya nicheke hivo
Baby wa mie vipi unaendeleajeKwa kweli...........nawe pokea kwa kunifanya nicheke hivo
nipo mambo ya masikukuu tu nili pause kwa muda...Upogo??
6520/6531 nakuja mbele huko
Hahahaha...nakwambiaHahahaah unakaba hadi penat
Shemeji umeshafika shy? Karibu nyumbani.Acha utendwe.
usikonde nitarudiKaribu tuongeze mtaji
Kule una quote tu hamna likeHahaha na mimi nimeuona najiuliza faida yake nini. Maana humu unakula like
Majibu yako Baby S. nayapendaga sana. Short, clear and never rude. Najuta. Pengine nami hiyo jana ningejitosa kunako vita [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli...........nawe pokea kwa kunifanya nicheke hivo
upuuzi mtupu kwa kweli nimesahau pitia new postWapi huko? Unaquote nini? Na ukikwoti unapata nini?