Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,461
- 19,779
Nawewe mrembo cheusi chukua like moja hiiHaaaaah! Hakika, niliona kimya nikajua leo huji, mpaka nimekukumbuka...
Nawewe mrembo cheusi chukua like moja hiiHaaaaah! Hakika, niliona kimya nikajua leo huji, mpaka nimekukumbuka...
Siasa zinatuharibu sana, upande wa kule nilikuwa siku pendi ila umekuja huku umeshepika umekuwa bonge la mrembo tena mwenye hekima. I love you... ila siyo ile ya kukupenda.Naomba usinichambe.. teh! Coco oyeeeeeeee
Na wewe chukua hiyo chaaphaya na wewe pokea like moja hapa chaaap
Machale yalimcheza. Sometimes you have to protect what is yours...[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaaa mkuu umenisababishia nipaliwe konyagi. Hali ya jana ilikuwa ni mbaya kwa kweli, sijui hata nsamaka alitokea wapi mtoto huyu
We jana nilikuambia yule ni mwanafunzi, kesha fika shuleni alisindikizwa na wazazi wake na simu amenyang'anywa. Kwa mara ya mwisho amenipigia saa 21:03.Mpaka mwezi wa tisaaa midtermHaahaha na uniq leo kimya.....
Kuna uzi wa ku quote kule unapata notifications zako nzur kabisanilizimis alerts balaaa
Ukipata nafasi waambieni non of our business coz we will be here forever and alwayswengine nao wameanzisha uzi wa quote...
Pole we....wanasema hutoi...ila mi nazionaga .... sijui wengineDuuuh leo mmeniandama san
Kifo chaja!kula maisha ...
Hey my lady[emoji102] [emoji102]
sijajua kitafika saa ngap...Kifo chaja!
Toa kwangu tu achana na hao si wakweli[emoji7]Mbon natoa jaman khaaa
Huo uzi upo wapi naomba unitag nikafanye yanguwengine nao wameanzisha uzi wa quote...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Naomba ukae mbali na huyo kipenzi changu
Naona uniq kaja ho chi minh kala kona[emoji23] [emoji23]Kifo chaja!