Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ukweli tanzania huwa tunaona majungu ila right is right mamaDuuuh leo mmeniandama san
Ukweli tanzania huwa tunaona majungu ila right is right mamaDuuuh leo mmeniandama san
Na wewe usisahau kutoa likes kwa wenzako: Toa likes upate likes!!!Nataka likes kama bashite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaaa mkuu umenisababishia nipaliwe konyagi. Hali ya jana ilikuwa ni mbaya kwa kweli, sijui hata nsamaka alitokea wapi mtoto huyuMkuu, we si mpaka Nsamaka ilibidi aje akukokote na bulldozer?
HjjnjsggLeo umeongea hongera sana
The walking dead yenyewe ni nzuriii sanaAisee niliangalia usiku mmoja yakanijia ndotoni mazombie yale nikashindwa kulala kabisa...
It gonna be a bad day for you then [emoji23][emoji23][emoji23]Leo bata wote wamefungiwa bandani kwao mkuu.
Naitaftia mda niiangalie yote hiiThe walking dead yenyewe ni nzuriii sana
Karibu tuongeze mtajinzuri sana mkuu
Upogo??eti maisha magumu sijuh lini yatakuwa malaini ahaaaa labda kwa omo na powder...
Wapi huko? Unaquote nini? Na ukikwoti unapata nini?wengine nao wameanzisha uzi wa quote...
Haaaaah! Hakika, niliona kimya nikajua leo huji, mpaka nimekukumbuka...Bint nimetega alarm ukiandika tu napata txt yako
Haya,poa.Nipo bar ya hapa jirani, nikimaliza kukamatia naja, Redd's sitasahau kutuletea sawa baby?