ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kijaluo
pamoja sana, pokea na hiyo.Wale mlionipa like nawaahidi sitawaangusha in magu's voice. Hata usiku wa manane ntawapa tu
Emoji zinanichanga ujue[emoji5] [emoji5]
Nakupenda bure kuanzia majuzi. [emoji8] [emoji8] Oooh Oooh !! sijui nitakuwa Nimejaribu??? Kumbuka sheria ya uzi huu ni kupeana like tuOooj jamani kaka nashukuru, ndio maana na humu naweza kuburudika na wadogo zangu na gemu la jaza ujazwe.
Itabidi unipe shule labda una mengine unayajua siyajui unifundishe jamani.
Ukiwa tayati karibu kumwagika.... ila usinisukume nijiunge nanyi hilo siwdzi ng'ooo
Unajua hata Mkulu anapenda wapinzani, ni burudani. Sme viongozi wenu muwapindue muingie nyie wengine wapya
Sio uzi peke yake na people around. Huu uziHakuna uzi unaonipa furaha kama huu
Ahsante japo kiafya sipo vzr..Shwari kabisa.
Karibu tujumuike mkuu
icho ndo chenyewe sasa.Kinyamwezi
And U r rightMama angu moja najuaga wewe ni mwanaume
Pokea likes kwanza.Wale mlionipa like nawaahidi sitawaangusha in magu's voice. Hata usiku wa manane ntawapa tu