Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170629-WA0017.jpg
 
Ushauri wote upo kwenye ule uzi wa Ontario. Mimi nilijaribu nikashindwa ndiyo maana nikagundua kuwa bila kujisomea kwanza ni kazi ngumu. Inabidi pia uwe up to date na current affairs duniani kote ikibidi hata umfollow Trump kwenye twitter yake[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimeanza upya kabisa. Pengine QUIGLEY kama ana uzoefu aseme tumfuate PM...
Trump ni ms3nge sana, yani kalichezea soko mpaka basi. Jamaa atoke tu ofisini arudi akasimamie mambo yake mengine.
 
Mie nitakupa likes hata kule siasani ukiandika mambo ya maana, na nimeshafanya hivyo mara nyingi tu. Kumbuka niliwahi kukwambia kwamba nimegundua wewe una akili sana na una uwezo mkubwa wa kujenga hoja bali tu unapenda kujifanya hamnazo kwa kuwapigia debe hao wahuni na mafisadi.

Oooj jamani kaka nashukuru, ndio maana na humu naweza kuburudika na wadogo zangu na gemu la jaza ujazwe.

Itabidi unipe shule labda una mengine unayajua siyajui unifundishe jamani.

Ukiwa tayati karibu kumwagika.... ila usinisukume nijiunge nanyi hilo siwdzi ng'ooo

Unajua hata Mkulu anapenda wapinzani, ni burudani. Sme viongozi wenu muwapindue muingie nyie wengine wapya
 
Back
Top Bottom