cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mwendo kasi
Safi mkuuza kushinda wakuu
Umesoma uhuru wasichana, mchanganyiko,Gerezani???Daah nimekulia mitaa ya gerezani pale
Trump ni ms3nge sana, yani kalichezea soko mpaka basi. Jamaa atoke tu ofisini arudi akasimamie mambo yake mengine.
Nakuona muhenga unawakumbushia enzi wahenga wenzio
Mitaa yangu hiyo ilikua...Kipata street
Oooj jamani kaka nashukuru, ndio maana na humu naweza kuburudika na wadogo zangu na gemu la jaza ujazwe.
Itabidi unipe shule labda una mengine unayajua siyajui unifundishe jamani.
Ukiwa tayati karibu kumwagika.... ila usinisukume nijiunge nanyi hilo siwdzi ng'ooo
Unajua hata Mkulu anapenda wapinzani, ni burudani. Sme viongozi wenu muwapindue muingie nyie wengine wapya
Umamluki kwenye huu uzi hatuhitaji.wanapost mambo ya maana kwingine, wakikosa wanakuja huku kuchikua likes,,wajanja mamluki hawa.
wananena kwa nhstxcxxiiskallxs
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Kwani sitoi likes ?Toa likes
Burudani sanaHahahaha
Uhuru wasichanaUmesoma uhuru wasichana, mchanganyiko,Gerezani???