Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
I will wait and tolerate
[emoji5] [emoji5]Hapo ndipo moyo wangu unatulia tuliiii.
Na mapishi yako ndio yanamaliza moyo wangu kwa upendo wang kwako
Maana nikona avatar yako tu hadi nguvu za kusambaza zinarudi kwa kasi maana like ni upendo piaNimerudi baba
Bado tu muongoHiyo familia
Mkuu na mimi nimetoka kumwambia, huyu dada nimuelewa vizuri sana ila ana fanya makusudikally kule siasaniMie nitakupa likes hata kule siasani ukiandika mambo ya maana, na nimeshafanya hivyo mara nyingi tu. Kumbuka niliwahi kukwambia kwamba nimegundua wewe una akili sana na una uwezo mkubwa wa kujenga hoja bali tu unapenda kujifanya hamnazo kwa kuwapigia debe hao wahuni na mafisadi.
Endelea na kamba zako hizoTuendelee
Pamoja mkuugoodnight
Huuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nazisubiri na mim..