Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ongeza Mavuno Kwa Matumizi Sahihi Ya Mbolea



Somo la Mbolea
Yara Tanzania Ltd ni kampuni inayojiusisha na utengenezaji, usambazaji, uuzaji na utoa elimu kuhusu Mbolea za mazao mbalimbali.

Mbolea katika maana nyepesi ni Lishe ya mmea. Hivyo ua na vii ni lishe ambavyo ni muhimu ktk ukuaji, uotaji, uzalishaji na ulinzi wa ubora mmea.
 
Mbolea za viwandan pia naweza kuzigawa katika makundi haya

Mbolea za moja kwa moja. Mf UREA, DAP.Mbolea za mchanganyo. Mf NPK utoa viin lishe zaidi ya viwil, NPK utoa viini lishe 3 vikuu katk ukuaji wa mmea hvyo ni BORA kuliko DAP, CAN na SA na kzl (utoa viini lishe viwil ama kmoja) kwa maana hiz zinaitaji ujue kiini lishe kipi kimekosekana kwenye udogo.
 
Naweza pia nikagawanya makundi ya mbolea kama ifuatavyo. Hapa NISIELEWEKE. VIBAYA musome munielewe sina maana kua mbolea zingine zisitumike hapana, zitatumika kulingana na hitaji la udongo wako baada yakufanya soil analysis (tafiti za ubora wa udongo-kwa lugha ya mkulima) naomba kuendelea na makundi hayo.
 
2. Mbolea mbaya.
Mbolea mbaya bila shaka ni kinyume cha mbolea nzuri.
Kwa misingi hiyo sasa mbolea za asiri zinakua katika kundi la pili (mbaya-nisieleweke vibaya naz pia zna uzuri wake itategemea lengo) kwakua hazina lishe linganifu na pia zinachelewa kuyayuka maranyingine.

Mbolea kama DAP, CAN, SA, Tsp, n.k (NPK-angalau hii) hizi nazo zinakua kwenye kundi hili (mbaya).
 
SA kama sijakosei zimeandika 27% S wakati mimea mingi inahitaji almost 5.6% ya Salfa hvyo % znazobaki zinachachua udongo na pia mimea inahitaj 40→46% ya N mbolea za asiri mara nyingine uwa na zaidi ya hii ama pungufu (utoa unbalanced nutrition).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…