Kwakua ni YARA ni kampuni inayofanya tafiti zakutosha dunian kote imekuja na mbolea mpya ambazo utoa na kuupa mmea viini lishe linganifu (ile inayostahili na kuitajika na mmea kwa kipindi mmea upo shambani hadi kuvunwa)
Mbolea hizi ni kama zifuatazo japo kwa uchache kwa maana wana mbolea nyingi kote duniani.
Niweke katika makundi haya sasa kwa ufahamu nilio nao kwenye mbolea.
YARA MILA - Kundi hili ni NPK iliyo boreshwa (yenye lishe linganifu, kuyeyuka vizuri na kutokua na madhara kwenye udongo kama utafuata maelekezo sahihi) na inaviini lishe vingine, hizi mbolea utumika kwa kupandia hata kukuzia mazao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.