Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

YARALIVA - Hizi ni Quality improved fertilizer (mbolea kwa ajiri ya kuboresha ubora na maisha lufani ya zao lako) zina Ca kwa wingi inayoyeyuka, N na Boron kqa ajiri yakunenepesha, kuunda gamba gumbu lakuung'aa na kuweza usafirshaji na kizui kurojeka/kubunguriwa kirahisi kwa mazao.
 
Mf YaraLiva Nitrabor
Kutokaa na somo hilo utajifunza kua mbolea inaweza ikawa na viin lishe vichache katka lishe linganifu HIVYO ikawa ni bora zaidi ya ile yeny viini lishe/virutubisho vingi visivyolinganifu.
Pia unaweza ukawa na mbolea yeye virutubisho sahihi lakini ikawa haiyeyuki kirahisi.
 
Binadamu sisi yaani hovyo sana. Binti mzuri yule masikini mwisho wake ni kwenye hilo shimo kuliwa na mafunza. Kifo kweli hakina huruma. Pumzika salama binti.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…