Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E067CA6A-F13E-4418-AD5F-49BD6926BBB7.jpeg
 
View attachment 752707 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
Vizuri amekumbuka kwao, sio unauza sura tu mjini kumbe wazazi wako wanaishi kwenye kibanda
 
Na ndio maana,
unatakiwa kuwa makini sana
mtoto wako kipindi cha ukuaji,
anachangamana au kuwaangalia watu wa aina gani.
Kwa mtoto,
haitajalisha huyo mtu aliyevutiwa naye anafanya jambo jema au baya.
Kama amevutiwa jinsi anavyofanya
na yeye
atataka kuwa kama huyo mtu
kwa kufuata njia zake.
 
Back
Top Bottom