Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vizuri amekumbuka kwao, sio unauza sura tu mjini kumbe wazazi wako wanaishi kwenye kibanda
 
Na ndio maana,
unatakiwa kuwa makini sana
mtoto wako kipindi cha ukuaji,
anachangamana au kuwaangalia watu wa aina gani.
Kwa mtoto,
haitajalisha huyo mtu aliyevutiwa naye anafanya jambo jema au baya.
Kama amevutiwa jinsi anavyofanya
na yeye
atataka kuwa kama huyo mtu
kwa kufuata njia zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…