Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,641 3."Niko pamoja nawe katika hili
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,642 4."Niko pamoja nawe katika sala"
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,643 5."Tulimpenda wote"
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,644 6."Ukihitaji msaada, niko hapa kwa ajili yako"
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,645 TABIA YA KUWAFARIJI WENZETU WANAPOPATWA NA MATATIZO, NI NZURI SANA NA ITAWAFANYA WAJISIKIE VIZURI.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,646 KWELI YAWEZEKANA UNA TAFSIRI YAKO MOYONI JUU YA TUKIO LILILOTOKEA, LAKINI IWEKE MOYONI UKIONA HAITAMFARIJI MUHUSIKA.
KWELI YAWEZEKANA UNA TAFSIRI YAKO MOYONI JUU YA TUKIO LILILOTOKEA, LAKINI IWEKE MOYONI UKIONA HAITAMFARIJI MUHUSIKA.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 22, 2018 #661,647 WOTE TUNAWEZA KUWA TUMAINI KWA WENGINE PALE WANAPOPATWA NA MATATIZO KWA KUTUMIA MANENO NA NJIA SAHIHI KUELEZEA HISIA ZETU PIA.
WOTE TUNAWEZA KUWA TUMAINI KWA WENGINE PALE WANAPOPATWA NA MATATIZO KWA KUTUMIA MANENO NA NJIA SAHIHI KUELEZEA HISIA ZETU PIA.
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Apr 22, 2018 #661,648 myoyambendi said: [emoji106] Click to expand... Hahahaha You are blessed one!