Tutumie mitandao yetu vizuri, mbele ya Mwenyezi Mungu hakuna star, tajiri, masikini, kilema, mzuri, mbaya,..Inshaallah Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema,” amesisitiza.
Kwa sasa katika tasnia ya burudani Bongo kumetanda wigu jeusi kufuatia kifo cha aliyekuwa video vixen na muigizaji, Agness Gerald ‘Masogange’ ambaye alifariki jana April 20, 2018.