Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3.ANZA KUTENGENEZA VIPAUMBELE VYA FURAHA YAKO


Mahitaji yako yana umuhimu sana.
Kama usipoanza kuweka vipaumbele vya vitu gani hasa vinakupa furaha,
hautaweza kujitambua
wewe ni nani.
Kama utaweza kutambua wewe
unafurahia nini itakuwa
rahisi kuwafurahisha na watu
wako wa karibu.
 
4.ANZA KUWEKA WAZI WAZO NA NDOTO ZAKO


Katika maisha,
kama unasubiri fursa zikufuate utangoja milele,
lakini kama ukiziuata fursa huko ziliko zitakupokea kwa
mikono miwili.
Haina maana kukaa chini na kujisifu kuwa una mawazo na ndoto nzuri,
kama haujaanza kuzitoa zionekane.
 
5.ANZA KUJIVUNIA ULIVYO


Kama haujaanza kujivunia vile ulivyo leo, itakuwa
ngumu kupiga hatua zako mwenyewe kuelekea mafanikio.
Ukianza kujivunia vile ulivyo
utafanya uyaone mawazo yako yana thamani, nguvu na uzuri ambao hakuna
mwengine yeyote anao.
 
Wanasemaga mapenzi hayanaga umri na eti age ain't nothing but just a # [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila na nyie mpunguzage maringo na kuchagua mnapokuwa bado vijana kha! Unakuta mtu ana vigezo 30. Jizazi, unataka kuolewa na malaika?
Hahahahaha! vigezo vinapungua tukifika 30+[emoji28][emoji28]
 
6.ANZA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA


Kama uliwahi kukosea na ukapata funzo fulani anza kulithamini hilo funzo
kwa kuchukua mafundisho yake na
kuyafanyia kazi.
Na ukiweza kufanya hilo,
utaona kumbe kukosea ni hatua moja wapo katika kupata mafanikio.
Kwani kuna uwezekano mkubwa kabisa kama usipotaka kujifunza
kutokana na hilo basi
utakuwa unalikwepa daraja ambalo lingekuunganisha na mafanikio.
 
7.ANZA KUWA MKARIMU KWA NAFSI YAKO


Kama utaendelea kutumia muda mrefu katika kuilaumu nafsi yako,
na kutaka kujiadhibu utakuwa unaendelea kujirudisha nyuma.
Ukiwa mkarimu kwa nafsi yako utaona nafasi ya wewe kunyanyuka kila
unapokuwa umedondoka
bila kujikatisha tamaa.
 
8.ANZA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YAKO


Matatizo yanayokukabili hayatoi tafsiri
ya wewe ni nani,
bali jinsi unavyoyakabili
na kuyamaliza ndiyo
tafsiri yako ilipo.
Matatizo hayawezi kuondoka mpaka wewe mwenyewe uyakabili.
Fanya jitihada zako zote pale unapoweza halafu jipongeze kwa
hatua uliyopiga.
 
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
852903137_56.jpg
 
Kila mwaka maelfu ya wanafunzi wanahitimu masomo yao ya elimu ya
juu na kuingia katika mchakato wa kutafuta ajira.
Idadi ya wanafunzi wanaomaliza,
ukiilinganisha nafasi za ajira huwa haviendani kabisa na
unaweza ukajiuliza;
je, ni wangapi watafanikiwa kuajiriwa?
 
Back
Top Bottom