Ni kweli vileKama kweli vile
Tembelea profile ake nyuzi zake utaona tuNionyeshe basi huo mtaa nikapige angalau chabo?
Shamsa ameanza kukomaa kifikra sasa...Mara kadhaa Shamsa Ford amekuwa akitoa nasaha mbali mbali kwa vijana. Hivi karibuni katika mahojiano na Bongo5 alisema hakuna mwanaume anayeweza kumfanya mwanamke chombo cha starehe ila inategemea mwanameke husika anajiweka vipi.
“Mwanaume hawezi akakufanya chombo cha starehe inategemea wewe na akili yako, kama unataka kuchezewa?, utachezewa basi, kama unataka uwe mwanamke wa maisha yake utakuwa kwa hiyo inategemea,” Shamsa Ford ameimbia Bongo5.
Prove itNi kweli vile
Hahah!!Kabisa rafiki na bebi bebi [emoji445]
Hahahahahah!!Shamsa ameanza kukomaa kifikra sasa...
Eti mwanamke mzima na madigrii yake kabisa unakuta analilalamikia jianaume lake "kumbe ulikuwa unanichezea tu?". Hii ni kauli mojawapo ya kushangaza kabisa !!!
Wanasemaga mapenzi hayanaga umri na eti age ain't nothing but just a # [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji108][emoji108]View attachment 753211
Hapo sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Prove it
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki hapana[emoji23][emoji23][emoji28][emoji108][emoji108]View attachment 753211
Au sio love doesn't ask YWanasemaga mapenzi hayanaga umri na eti age ain't nothing but just a # [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila na nyie mpunguzage maringo na kuchagua mnapokuwa bado vijana kha! Unakuta mtu ana vigezo 30. Jizazi, unataka kuolewa na malaika?
Nisaidie ku prove bhanaHapo sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana nn sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki hapana
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki hapana