Hahahahaha! vigezo vinapungua tukifika 30+[emoji28][emoji28]Wanasemaga mapenzi hayanaga umri na eti age ain't nothing but just a # [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila na nyie mpunguzage maringo na kuchagua mnapokuwa bado vijana kha! Unakuta mtu ana vigezo 30. Jizazi, unataka kuolewa na malaika?
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23], hivi utaweza hata kupenzika kweli hapo.. No mizuka....Mungu nisamehe..Mambo haya ni magumu kwelikweli, hayatabiriki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki hapana
Kaone! Mbona usipenzike? Na utashangaa babu yuko vizuri mpaka anakutoa nokauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23], hivi utaweza hata kupenzika kweli hapo.. No mizuka....Mungu nisamehe..Mambo haya ni magumu kwelikweli, hayatabiriki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]Kaone! Mbona usipenzike? Na utashangaa babu yuko vizuri mpaka anakutoa nokauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], watz je??