Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lazima wafanye hivyo mana madini yakinuka tena yanakua hayana thamaniKumbe hawa nao huwa wanafloss?
View attachment 753252
Hahahahahaa
Unaona anavyocheka? Unaona?....Nimeuliza weee wala hamunielekezi bana...
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Bro ndo Kasmart?
Yaani nyinyi...
Kumekuchaje huko?
Poa bro, mi nipo kwa baba jesca hapa,, hapa kwenye mataa yakeNdio mkuu nipo hapa mjini aisee ..
Kwema bro. Kumekucha salama kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16] [emoji16] [emoji16]
Bro kwema lakini?
Hakika bro,, kumekucha salama[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] jumapili njemaKwema bro. Kumekucha salama kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]