Wema ukizidi unageuka zari... [emoji23]Sio mlokole mkuu, ni Binadamu tu wa kawaidah
[emoji51] [emoji51] tatizo gani cole?Sio muelekezaji ndio unatatizo????
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Otilie huyo,mtt wa mombasaAli kiba. [emoji23]
Hatujambo shikamoo babu. [emoji23]Wadau hamjambo humu
Ha Ha HaWema ukizidi unageuka zari... [emoji23]
Si ndiyo kaolewa na ali kiba juzi... [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] Otilie huyo,mtt wa mombasa
Hauwezi kuwa hata kwa mfano[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Je Kama ukiwa mtongozo kwa mfano.
K- vant ya jana ilikuacha salama? Jumapili i imeendaje?Kuna watu ndo wako hivyo,wanakuhitaji wakiwa na shida tu.
Ila usiache kuwasaidia kama unaweza[emoji120][emoji120][emoji120]
Habari yako[emoji119][emoji119]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] utani wa ngumi huoSi ndiyo kaolewa na ali kiba juzi... [emoji23]
What if ni mtongozo. hypotheticalHauwezi kuwa hata kwa mfano[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
( k ) ya vant. [emoji23]K- vant ya jana ilikuacha salama? Jumapili i imeendaje?
[emoji15] [emoji87][emoji16] [emoji16] [emoji16] utani wa ngumi huo
Yule manzi anaesumbua huko insta kwakua na mzigo wa hatariMzigo gani mkuu
Leo wamekususa eenhe... [emoji23] [emoji91]Jioni ya leo
Kwenye mtongozo kuna mawili kukubaliwa au kukataliwa inategemea na mtongozo wenyewe[emoji23] [emoji124]What if ni mtongozo. hypothetical