Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani hii Kenya ni kushikwa shikwa tuu..
Unakimbia unashikwa na stitch
Inafika saa sita unashikwa na njaa
Unatembea bila sweater unashikwa na pneumonia
Unaangalia dem akipita unashikwa na gethinyaku
Unaenda Kenyatta kuzaa unashikwa na mimba ingine.. [emoji17] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…