Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Waiii sipendi kukataliwa yaani sipendi
Bro. Naona hawa mabinti wamekuambukiza lafudhi zao mpaka nawe waiii zimeanza kukutoka. Angalia wasikufikishe mpaka kwenye jomoni woiiii. Haitapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji106][emoji106]
 
Wakenya wako na mambo mengi sana, ni wafunny inshort
 
Hii vita ni kubwa bro na bado inaendelea, ni maneno tu tunapewa sie weusi kuwa ubaguzi umeisha lkn hakuna ktu km hcho
Halafu na sisi hatubadiliki aisee na kuwa-prove wrong. Bado tunafanya yale yale. Imagine Afrika tuwe wazalendo kabisa kabisa na tujipatie viongozi imara tujiletee maendeleo na tuache kuwategemea hawa wabaguzi. Lakini kwanza ndiyo tuna maviongozi malafi mafisadi ya kutupwa. Bara zima utafikiri tumerogwa. Hata tukibaguliwa ni sawa tu kwa kweli. Aaaaaargh !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…