moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ukimuona shemeji yetu huko mpe salaam zanguKwema moud
Ukimuona shemeji yetu huko mpe salaam zanguKwema moud
Mmmh... KwaniniMkuu jipime na utafakari upya kauli yako hii
Nilijifunza ndio[emoji23][emoji23]Humu ukujifunza kwamba mapenzi hayana umri
Dogo huyu bado saaaana...Mkuu jipime na utafakari upya kauli yako hii
Marahaba dogoSijambo shikamoo. [emoji17] [emoji124]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] shiro usimsikilize huyu jamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kijana anazinguaWe kijana weweeee...
Awe makini kiba kama ni maigizo inabidi aplay victim zaidi ili awin our sympay..tumuunge mkono zaidi.Hahah!! Mkuu nyuma ya hawa watu kuna siri nzito sana wala usishangae kuona hivyo
Hahah! Hakika mkuu sasa huyo sanch ukimuangalia utakutana na hivyo vigezo anuaiMwanamke hatuangalii sura. Sura hata nguruwe anayo[emoji3] [emoji3] vigezo anuai vitampa demu nafasi
Sasa mbona ulimkataa yule mzeeNilijifunza ndio[emoji23][emoji23]
Hakika kwa asilimia 70% diamond platnumz kajisikia vibaya sana....Hahah!! Watu hawataki shobo
Mnanaa ndo mti gani jirani kwa Kiswahili/Kiingereza? Nimekopi na kupesti tu bila kuelewa.[emoji106][emoji106]
Hahah!!Naona kibonge hapo kahamaki... Ali kiba ana adabu kwa wadogo zake. [emoji23] [emoji108]
Ndiyo maana watu wanasugua, masuala ya kuomba omba kama omba kazi au msosi hawapendagi[emoji3] [emoji3][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Waiii sipendi kukataliwa yaani sipendi
Muulize kwanini kasema hivyo anawezakua na hoja za msingiMkuu jipime na utafakari upya kauli yako hii