myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
16:55
Situmii jicho la tatu natumia jicho la amina kucheki... [emoji23] [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naona unatumia jicho la tatu kucheki
[emoji3] [emoji3] kweli lakiniNdiyo inavyotakiwa sasa.... [emoji23] [emoji378] [emoji298] [emoji91]
Kukataliwa kunauma hamjuagi tu. Tena kuna kule kukataliwa kinyama kabisa. Afadhali ile ya kukataliwa kistaarabu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aki cole si umenichekesha, kwa nini hupendi?
Kijana toka Mombasa huyu, kwa kina otilie, cheki avatar yakeHalafu mbona una sauti furani hivi, tatizo nini
Mwanamke kuwa mchawi chawi hapendezi. [emoji23] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekumbuka mbali
Mwanamke kuwa mchawi chawi hapendezi. [emoji23] [emoji13]
Uwaga na feel si stahili kukataliwa kabisa bora tu ukanikubalia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aki cole si umenichekesha, kwa nini hupendi?
Mambo ya kupeana gundu watu hawataki, ukileta mkono wa salam watu wanapotezea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
You don't know until you know.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naona unatumia jicho la tatu kucheki
Iko mitongozo aina ngapi hasa?Ndioo
Usijali mkuu zitamfikiaUkimuona shemeji yetu huko mpe salaam zangu
87.5% inapendezea ikiwa hivi... [emoji1] [emoji91][emoji3] [emoji3] kweli lakini
Haya bro...Nimefanya makusudikali ili ledada afurahi tu