Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"The closer you get to excellence in your life, the more friends you'll lose. People love you when you're average because it makes them comfortable. But when you pursue greatness it makes people uncomfortable. Be prepared to lose some people on your journey."
 
Halafu na sisi hatubadiliki aisee na kuwa-prove wrong. Bado tunafanya yale yale. Imagine Afrika tuwe wazalendo kabisa kabisa na tujipatie viongozi imara tujiletee maendeleo na tuache kuwategemea hawa wabaguzi. Lakini kwanza ndiyo tuna maviongozi malafi mafisadi ya kutupwa. Bara zima utafikiri tumerogwa. Hata tukibaguliwa ni sawa tu kwa kweli. Aaaaaargh !!!
Tunaugulia kwenye furaha ya kutawaliwa kifikra. Ukiwa na tabia ya kuwababaikia watawala wa zamani (wakoloni) jamii itakuona wa maana. Ulimbukeni una nafasi kubwa kwenye jamii za kiafrika
 
zamani ulikua unaosha jeans,inakauka kesho yake coz the fabric was so strong n heavy.... jeans za sikuizi zinakauka haraka kuliko Tight...za sai zinacheza ligi Moja na handkerchief...zile za kitambo ng'ombe inge karibu kutafuna jeans kama umeanika kwa manyasi,ingeng'oka Meno.,but jeans za sikuizi ng'ombe ikipata. inameza kama indomie....
 
In South African Parliament

Hon Madisha
: Half of people in this parliament ARE stupid!!!
Speaker
: Hon.Madisha withdraw that statement.

Hon Madisha
: I withdraw that statement. Half of people in this parliament are not stupid!!!

Speaker
: Thank u, let's proceed.
 
Back
Top Bottom