Man of The YearThat party
Napenda watu bora sio vitu[emoji4]We si unapenda vitu bora???
Mchepuko unaenda kufaidi chakula utakuta anapewa na show ya kuvunja chaga,mwisho wa siku pete ya kisoda[emoji23][emoji23][emoji23]
Waache tabia za kuiga mabifu ya mastaa wakubwa. Waungwana huiga mambo mazuriAli kiba x diamond platnumz
Wiz kid x davido.
Tupac x notorious
Ushaelewa nadhani...
Mbona yule mzee ni bora na unamkataaNapenda watu bora sio vitu[emoji4]
Kama kina kasmarti [emoji124] [emoji124] [emoji124]Napenda watu bora sio vitu[emoji4]
[emoji15]Waache tabia za kuiga mabifu ya mastaa wakubwa. Waungwana huiga mambo mazuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe unajua....Inauma sana...
Halafu huyo huyo baada ya miaka 8 mbele ya safari mnakutana uko kivingine and you are like "whu da dogi nao?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuzusha maneno mzee yupi. [emoji51] [emoji16] [emoji298] [emoji91] [emoji378]Mbona yule mzee ni bora na unamkataa
Kumbe, sikujua hilo kablaKijana toka Mombasa huyu, kwa kina otilie, cheki avatar yake
Kuna shida kwani mkuu??Wabongo noma kwa kupost quotes zenye inspiration lakini wao sasa..... Ngoja nikae kimya sitaki ban mie. [emoji23] [emoji91] [emoji378]
Naona wajipigia pande[emoji124] [emoji124]Kama kina kasmarti [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndo hivyo mkuuKumbe, sikujua hilo kabla
Collard green ft Kendrick LamarStudio - SchoolBoyQ
[emoji22] [emoji108] ujue baada.Kumbe, sikujua hilo kabla