Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi mimba sijui zilitoka wapi,sikumoja zitauuwa wanaume!!!!

*Mara ooooh mimba haitaki sukuma wiki.
*Mara ooooh sijui mimba haipendi landlord...
*Mara oooh mimba inataka nyama....
*Sijui mara mimba haipendi harufu ya socks zako...
*Mara mimba inachukia harufu yako ya makwapa....
*Mara ooh mimba haitaki nipande public vehicle inataka uber[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Sijui mimba inataka chips za tao

Swali langu ni mbona hizi mimba hazikataangi ATM CARD,VISA CARD NA pesa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
30590796_2348749845139892_2519183999130140672_n.jpg
 
Leo nmeamua kujiona nkiwa choo vile huwa nabehave ikabidi niende na kioo kwa choo ...walai ile seriousness nlikuwa ..ningekuaa ivo shule saizi tungekuwa tunabishana kizungu na miguna miguna [emoji29][emoji29] na PLO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom