Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapata dem anariinga na ameingia kwa nyumba mingi kushinda ata fundi wa stima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]who does that??????? ‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
 
Tulisema
Mwanaume ni kuvaa nguo kwanza then anajipaka mafuta zile parts zinaonekana. Kama we ni mwanaume na huwa unajipaka mafuta kila mahali kabla ya kuvaa nguo...kemea hiyo pepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndio mimi huita umama kilo 399[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo haiwezi tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…