Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ni hivyo basi hakuna neno. Mi niliwahi weka picha ya gonorrhea kule jukwaa la madokta nikachezea ban ya wiki nzima japo kulikuwa na picha zingine mbaya zaidi na zote kutoka kwenye medical textbooks.
Aise pole sana, mi pia nmeikuta kwenye huo uzi, So acha nisubiri hyo ban bt waknipa itakuwa ni uonevu
 
Madonna huyu mama aisee,anavituko vingi moja wapo ni hiki alipomkiss Drake on stage and then Drake akatema mate baada ya ile kissing
madonna-kissing-drake.jpg
 
Back
Top Bottom