Aise pole sana, mi pia nmeikuta kwenye huo uzi, So acha nisubiri hyo ban bt waknipa itakuwa ni uonevuKama ni hivyo basi hakuna neno. Mi niliwahi weka picha ya gonorrhea kule jukwaa la madokta nikachezea ban ya wiki nzima japo kulikuwa na picha zingine mbaya zaidi na zote kutoka kwenye medical textbooks.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili ni nywele kila mtu ana zake hata babu wa Kikombe ana zake na aliwapata kweli!
Hawajaligi...Aise pole sana, mi pia nmeikuta kwenye huo uzi, So acha nisubiri hyo ban bt waknipa itakuwa ni uonevu
Madonna huyu mama aisee,anavituko vingi moja wapo ni hiki alipomkiss Drake on stage and then Drake akatema mate baada ya ile kissing
Hope haitakuwa ivo broHawajaligi...
Na hawatoagi sababu...
Madonna huyu mama aisee,anavituko vingi moja wapo ni hiki alipomkiss Drake on stage and then Drake akatema mate baada ya ile kissing
View attachment 753648
Ana pesa alipiga..jerojeroHivi huyu mzee yupo!?
View attachment 753563
Ndio mkuu alimsifia sana nakumbuka, sema drake km hakupendezwa na ile haliIla pia kama sikose alimsifia sana kwamba katika watu ambao amewahi kula denda nao. Drake yuko katika ngazi ya juu sana kwa kujua namna ya kula denda.
Ndio mkuu alimsifia sana nakumbuka, sema drake km hakupendezwa na ile hali