Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo 0205 naona itakuwa kama mwisho wa dunia vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hata sitaki kuwaza.
Yaani unafungua uzi unakutana na
dadii nilikumiss sana mods wabaya hawa,
Dadii naye anajibu:hunishindi mimi bora umerudi kitoo wangu numby na carba walikuwa wananicheka hapa kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiii sitaki mimi.

Ila anaweza kurudi kawa mpole na asiwe na mbwembwe zozote
 
Niko safarini naenda mbeya,maombi yenu wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Vipi umepona au nikuletee dozi yako ya mwisho ya Mseto umalizie? [emoji1][emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Woiiiiii jomoniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani nimecheka mpaka nimepaliwa. Bro na bebi wake yaani mpaka wanatuambukiza na wengine tusiohusika aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha matamu haya,bro kakolea hataki kujibana.

Pole kwa kupaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…