Kwenye mapenzi kuna vitu vikuu viwili vya kuzingatia, navyo ni KUPANUANA na KUTIANA.
1.KUPANUANA.
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi kwamba anaweza kukupanua mawazo yako, la sivyo utakuwa unatembea na kichwa maji.
2.KUTIANA
Hili suala pia lina umuhimu wake katika safari nzima ya mapenzi. Unaweza kukaa na kukata tamaa, hivyo hakikisha una mpenzi wa KIKUTIA MOYO na sio yule ambaye kama umekata tamaa anakupa msongo wa mawazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] we wazaga tu uzwange
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app