Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Atamalizia watu huko sasa likes atakuwa anazipata za nani? Miye niko huko. Yule jamaa wa mapovu naye yuko huko. Kuna vijana wawili walimuuliza uliza vitu juzi hapa nadhani nao wako huko. Na nyie mkiwa huko sasa si atakuwa anajishoot mwenyewe. Kama bado mnapata likes basi ni wazi hamko huko. Kama hamzipati basi welcome to the club...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Woiiiiii jomoniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani nimecheka mpaka nimepaliwa. Bro na bebi wake yaani mpaka wanatuambukiza na wengine tusiohusika aisee...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana humu haturopoki ovyo maisha binafsi ni mara chache mno mfano juzi nilizidiwa naikahisi ndo mwanzo wa safar ya niagien niagien nikaona niseme kabisa ili mkiona kimya mjue nshaenda dunia nyingine
Aisee. Pole sana. Sasa hali ikoje? Pona haraka bana. Kuondokewa na rolo modo waiii sitaweza kuhandle brathee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Codes za jirani afadhali zinaeleweka lakini za bro ni changamoto. Ndiyo maana hata wakati ule anashusha parabozi za kuhangaikia mizimu ilishindikana kwa sababu hata mlengwa pamoja na mizimu yake pengine alikuwa haelewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila maisha yanaenda kasi kweli,hivi si alikiwa sis wako yule??
 
Aisee. Pole sana. Sasa hali ikoje? Pona haraka bana. Kuondokewa na rolo modo waiii sitaweza kuhandle brathee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kitooo rudi mama huyu ledada anatuharibia lugha na watu humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nina nafuu kubwa,ugali nafuta sahani tatu,nikipona napiga sahan tano
 
Kwenye mapenzi kuna vitu vikuu viwili vya kuzingatia, navyo ni KUPANUANA na KUTIANA.

1.KUPANUANA.
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi kwamba anaweza kukupanua mawazo yako, la sivyo utakuwa unatembea na kichwa maji.

2.KUTIANA
Hili suala pia lina umuhimu wake katika safari nzima ya mapenzi. Unaweza kukaa na kukata tamaa, hivyo hakikisha una mpenzi wa KUKUTIA MOYO na sio yule ambaye kama umekata tamaa anakupa msongo wa mawazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] we wazaga tu uzwange
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ha hah
I like you
 
BUyginjhbqf.jpg
 
Nilivyoona KUPANUANA na KUTIANA nimeacha kusoma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila maisha yanaenda kasi kweli,hivi si alikiwa sis wako yule??
Na tulikuwa upande mmoja 2015. Hata sijui nimekosea wapi. Kuna mahali nilisema kuwa mkulu alikuwa ameanza kunikera kutokana na self inflicted wounds anazojipa mwenyewe na kujisababishia chuki za bure tu.
 
Back
Top Bottom